Onyesha heshima, mamlaka na muonekano wa kipekee! Mashati haya ya mikono mirefu kutoka chapa maarufu ya Presidential Shirt yamekuja na nakshi za kipekee sana (Silk/Paisley Patterns) zinazokupa muonekano wa kiongozi na mtu mwenye mvuto wa kipekee kwenye matukio yote muhimu.