*premium v-neck polo - luxury edition *
polo motooo! - kitambaa kali - laini, kizito & imara - ribbed texture kali - haichubuki, haipotezi rangi - kola ya v-neck ya kifalme - design simple lakini classy sana - inakaa vizuri mwilini - look ya kiboss!
*rangi kali zilizopo kama picha:*
jet black - boss kali!
pure white - clean & inang'aa!
blue grey - official sana!
mustard / orange - inang'aa sana!
ash grey - stylish sana!
olive / army green - unique sana!
*sizes:* m - 2xl (size zote zipo)
best kwa ofisini, church, casual, dinner, harusi, kitchen party & kila sherehe - ina-match na jeans, khaki, trouser na shorts - ukivaa hii, utaonekana boss mwenye pesa!
* kariakoo, congo & narung'ombe st.*
* delivery dar & mikoani leo leo*
* - wahi rangi yako kabla haijaisha!*