Premium Long Sleeve Polo
Muonekano wa kisasa unaokupa mvuto kila unapovaa!
Size: M–2XL
Kitambaa laini na chenye ubora wa hali ya juu
Inakaa vizuri mwilini (Smart Casual Fit)
Inapatikana kwa rangi mbalimbali
Inafaa kwa matumizi ya kila siku, ofisini na matembezini
Tunapokea oda za Jumla na Rejareja.
Wasiliana nasi sasa uweke oda yako kabla haijaisha!