Premium Men's Sleeveless Tracksuits / Casual Sets).
Piga pamba ya kijanja, ya kishua na yenye muonekano wa kipekee sana kwa ajili ya mitoko ya kasweli na ya weekend! Jipatie seti hii kali ya sweta isiyo na mikono (Sleeveless/Muscle Tee) na suruali yake ya kitambaa kizito chenye ubora wa juu.
Sifa za Seti Hizi:
• Mtindo (Design): Sweta ya kisasa isiyo na mikono inayoonyesha kifua na mikono vizuri, ikiambatana na suruali ndefu ya kisasa (Straight/Slim fit look) inayonyooka vizuri mwilini na yenye upisho wa mbele (front seam design).
• Nyenzo (Material): Kitambaa kizito, laini na cha daraja la