Polo Kali za Zipu na Bukta za Kijanja (Classy Men's Summer Sets) - Rangi 4
Seti za Bukta na T-Shirt za Kola za Kiume (Classy Men's Casual Short Sets) Inauzwa!
Imarisha muonekano wako wa wikiend, mazoezi, au mitoko ya kawaida na washkaji! Seti hizi za kijanja zinajumuisha t-shirt ya polo yenye zipu kifuani na mshono wa kisasa wa pembetatu (V-neck block pattern) mabegani, zikiambatana na bukta ya kamba inayovutika kwa urahisi. Kitambaa chake cha mtindo wa ribbed ni laini, kinapitisha hewa vizuri na kinakaa vyema mwilini.