Pendeza Kibosi na St. Oscar Executive 3-Piece Black Suit
Imarisha kabati lako la nguo kwa suti hii nyeusi kali ya vipande vitatu ya kiume inayovutia wakati wote. Kitambaa chenye uhakika wa kudumu kwa muda mrefu huku kikikupa faraja ya hali ya juu kipindi chote cha sherehe au vikao vya kikazi.