Pendeza Kistaa na Joselino Executive 3-Piece Cream Suit
Mzigo mpya kabisa wa suti za kisasa za kiume zenye muundo safi wa vipande vitatu. Kitambaa cha Wool cha hali ya juu kinachohakikisha uimara, wepesi na faraja ya hali ya juu ukiwa kwenye sherehe au vikao maalum.