Ongeza muonekano wako wa kijanja na kibabe ukitumia jaki imara za mtindo wa kijeshi (Military Tactical/Combat Jackets). Zimetengenezwa kwa kitambaa kizito cha pamba (heavy cotton canvas) kinachodumu kwa muda mrefu. Zina mifuko mingi ya mbele na ya mikononi, beji za kijanja (patches), na vifungo imara. Ni chaguo bora kwa mitoko ya usiku, safari, au muonekano wa kila siku wa kuvutia.