Matumizi: Inafaa sana kwa Bwana Harusi (Groom),
Muonekano wa kishua, wa kisasa na wenye mvuto wa hali ya juu sana! Jipatie suti kali ya kiume ya vipande vitatu (Koti, Kisibau/Vest, na Suruali) kutoka kwa chapa maarufu na yenye ubora mkubwa ya JOSELINO.