Mashati ya Wachungaji na Mapadri (Clergy Shirts)
Onyesha muonekano nadhifu na wa heshima katika huduma ukiwa na mashati haya bora ya viongozi wa dini (Clergy Collar Shirts). Yamebuniwa maalum kwa ajili ya mapadri, wachungaji, na watumishi wa madhabahuni.
• Mtindo (Style): Sharti la mikono mirefu lenye mfuko mmoja wa kifuani na kola maalum ya huduma (Tab-collar clergy shirt).