Magauni ya Kisasa ya Kazi (Classy Smart Casual Office Wear) - Mpya
Magauni ya Kike ya Kiofisi na Sherehe (Classy Pleated Asymmetrical Dresses) Inauzwa!
Imarisha muonekano wako wa kikazi kiofisi, kwenye mikutano, au ibada kwa magauni haya mapya ya kijanja! Muundo wake wa kipekee wa mshatiri (asymmetric overlay) mbele ulioungana na skati ya marinda (pleated skirt) unaleta muonekano wa kisasa, adabu na heshima kubwa. Kitambaa chake kimeshonwa vizuri ili kukupa faraja siku nzima kiofisi