Koti La Kiume La Kifahari La Double-Breasted Na Suruali
1/5
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 7 hours ago
3 views
Koti La Kiume La Kifahari La Double-Breasted Na Suruali
+1
Suits
Type
Other Brand
Brand
Men's
Gender
Green
Color
Brand New
Condition
Koti hili la kijani limepambwa kwa vifungo vya kahawia vya maridadi, kola pana ya kisasa ya 'Peak Lapel', na mifuko miwili ya chini (patch pockets) inayochanganya muonekano rasmi wa kiofisi na ule wa mtindo huru (Smart Casual).