Kakahawia (Mustard / Golden Khaki / Light Tan)
kutoka JOSELINO:
Muonekano wa kisasa, wa kipekee na unaovutia macho mara moja! Jipatie suti kali kabisa ya kiume ya vipande vitatu (Koti, Kisibau/Vest yenye vifungo vya double-breasted, na Suruali) kutoka kwa brand mashuhuri ya JOSELINO.
Sifa za Suti:
• Rangi: Golden Khaki / Mustard (Rangi ya kipekee na ya kisasa kabisa inayoleta muonekano mtanashati na wa kishua sana).