Kahawia Iliyokoza / Rangi ya Wine/Maroon Iliyofifia
Muonekano wa kistaarabu, wa kisasa na wenye mvuto mkubwa sana! Jipatie suti kali ya kiume ya vipande vitatu (Koti, Kisibau/Vest ya kifungo cha double-breasted, na Suruali) kutoka kwa brand maarufu na yenye heshima kubwa ya JOSELINO.