CLASSIC SHIRT COLLECTION
Muonekano wa Kisasa kwa Mwanaume wa Kiwango
Sizes: M, L, XL, 2XL, 3XL
Price: 45,000/= tu
Ubora wa hali ya juu
Inafaa kwa ofisini, outing au events
Inakaa smart na classy muda wote
Kama unataka kuonekana nadhifu, confident na tofauti — hii shirt ni chaguo sahihi kwako!
Tunapokea oda na tunatuma mikoa yote Tanzania
Wasiliana nasi sasa uagize yako