Kariakoo connect
*set:* blazer + trouser - 2 piece - double breasted 6 buttons - slim fit - modern cut - peaked lapel
*color:* burgundy / wine red - rangi kali sana kama pichani - unique & classy - inang'aa kwenye harusi
*material:* premium suit fabric - kitambaa kizito, bora & la garama - best quality - zoro brand - turkish style
*design:* flap pockets - lapel button - full lining - ina kaa kama imebandikwa mwili
best kwa *send off, kitchen party, dinner, mahafali, ofisini, kanisani, birthday & event zote za class* - ukivaa hii unasimama kama ceo - boss wa mji!
*sizes:* 46, 48, 50, 52, 54, 56 - kutoka s hadi 3xl
*tie & pocket square kama picha zipo dukani*
stock mpya - rangi ni moja tu - wahi kabla haijaisha!
* kariakoo connect - kariakoo, congo & narung'ombe st.*
* delivery dar & mikoani leo leo*
* *