Mletee mwanao furaha na hamasa ya kujifunza!
Meza na kiti vyenye muonekano wa kuvutia wa Spider-Man. Ina sehemu ya kuweka vifaa vya watoto. Muundo mzuri na wa kuvutia. Inafaa kwa kusomea, kuchorea na kufanya shughuli mbalimbali. Inamfanya mtoto afurahie muda wake wa kujifunza