Kids special homework desk
kwa tsh.100,ooo tu
children special study chair & table set that is suitable for student home work, exercise & all school activities with free delivering offer in dar, for tsh. 100,000 only
zijue sifa na faida za table chair
1. Ni kwa watoto kuanzia miaka 2years had 11years
2. Ina saa, glass ya maji ,numbers , mathematics table and alphabets
3. Humfanya mtoto awe comfortable
4. Humfanya mtoto afanye homework zake kwa wakati
5. Humfanya mtoto kupenda kukaa juu kujisomea
6. Anaweza kutumia kulia chakula , tena hula kwa raha kabisa bila kufosiwa fosiwa
@free delivering dar popote & kufungiwa bure
ukihitaji kwa jumla pia tunauza kuanzia viti5
mikoani tunatuma ..For more info
karibu sasa ili umuandalie mwanao mazingira bora ya elimu