Nyumba inapangishwa.
.
.
Ina vyumba viwili vya kulala kimojawapo ni master sebule na jiko kubwa
.
.
Ipo ndani ya fensi na parking ipo
.
.
Inajitegemea umeme na maji
.
.
Umbali wa dakika 10 kutoka lami ya njia ya goba
Magauni mapya yamevaliwa mara moja kwa anaehitaji karibu sanaa yanauzwa na kukodisha lipo jeupe kwa ajili ya ukumbini na kanisani na lipo la pink kwa ajili ya ndoa za waislam karibu sana
Nyumba mpya inapangishwa
.
.
Nyumba ina vyumba viwili (kimojawapo ni master), sebule,jiko na choo cha familia
.
Nyumba ipo mbezi mwisho njia ya mpigi magoe
.
Nyumba ni mpya na zipo tano kwenye compound moja ambazo zinajitegemea umeme na maji yapo na yanaflow ndani
.
.
Kodi ni 220,000/= kwa mwezi
Plus na hela ya dalali ambayo ni hela ya mwezi mmoja
.
Fensi ndio inajengwa na parking ya kutosha mnoo
.