Faida atakazo pata mtoto kwenye bidhaa yetu ya forever kids.
1. Inasaidia kuwapa watoto vitamin na madini muhimu kwa afya njema na kuboreshe mfumo wa kinga na hivyo kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa.
2. Inasaidia kuwarejeshea watoto hamu ya kula na hivyo kuwapa virutubisho zaidi na kuboresha afya.
3. Ipo kwenye mfumo wa pipi hivyo kufanya iwe rahisi kwa watoto kuvitafuna na kuvipenda.
4. Haina rangi ya kutengenezwa wala preservatives zozote.
5. Inaweza kutumiwa na watu wazima pia.
Ina tembe 120 ambazo zinaweza kutumika kwa miezi miwili kwa mtoto wa miaka 2 mpaka miaka 4 watumie tembe mbili kwa siku chini ya usimamamizi wa mzazi na kwa watoto wenye umri zaidi ya miaka 4 na watu wazima watumie vidonge vinne kwa siku
Kwa ukuaji bora wa mtoto wako, ni forever kids_multivitamins
faida atakazo pata mtoto kwenye bidhaa yetu ya forever kids.
inasaidia kuwapa watoto vitamin na madini muhimu kwa afya njema na kuboreshe mfumo wa kinga na hivyo kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa.
inasaidia kuwarejeshea watoto hamu ya kula na hivyo kuwapa virutubisho zaidi na kuboresha afya.
ipo kwenye mfumo wa pipi hivyo kufanya iwe rahisi kwa watoto kuvitafuna na kuvipenda.
haina rangi ya kutengenezwa wala preservatives zozote.
ina tembe 120 ambazo zinaweza kutumika kwa miezi miwili
hutumiwa na watoto wa rika zote
👉🏽 inaweza kutumiwa na watu wazima pia.
_wazazi nipendeni_
Tunauza furniture za aina zote za majumbani na maofisini kama;-
#makabati
#vitanda
#sofaset
#tvtable
#coffeetable
#tableoffice
#kitchencabinet
tunapatikana kimara mwisho dsm kwa maelezo zaidi tupigie simu no au
#trusttheprocess👊
karibuni sana
kitanda cha mtoto mdogo wa umri kati ya 0 - 3 yrs .
✓pia ukitaka design tofauti na hii tunatengeneza
✓bei zetu ni nafuu
✓wasiliana nasi076*********
✓karibu tukuhudumie
Kids special homework desk
kwa tsh.100,ooo tu
children special study chair & table set that is suitable for student home work, exercise & all school activities with free delivering offer in dar, for tsh. 100,000 only
zijue sifa na faida za table chair
1. Ni kwa watoto kuanzia miaka 2years had 11years
2. Ina saa, glass ya maji ,numbers , mathematics table and alphabets
3. Humfanya mtoto awe comfortable
4. Humfanya mtoto afanye homework zake kwa wakati
5. Humfanya mtoto kupenda kukaa juu kujisomea
6. Anaweza kutumia kulia chakula , tena hula kwa raha kabisa bila kufosiwa fosiwa
@free delivering dar popote & kufungiwa bure
ukihitaji kwa jumla pia tunauza kuanzia viti5
mikoani tunatuma ..For more info
karibu sasa ili umuandalie mwanao mazingira bora ya elimu