Mwangaza Safi na Unaoweza Kubadilishwa: Inatoa mwanga mzuri wa kutosha usiopendelea upande mmoja, unaofaa kwa kupiga picha, kurekodi video za TikTok, Instagram, YouTube, au kupiga live streaming na kujipodoa (makeup).
Inakuja na Stendi Ndefu: Stendi yake ni imara, inaweza kurekebishwa urefu unaotaka (adjustable tripod stand) ili kukupa urahisi wakati wa kutumia.
Kishikio cha Simu (Phone Holder): Ina sehemu maalum ya kuweka simu katikati ya ring light kwa ajili ya usawa mzuri wa picha na video.
Rahisi Kutumia: Inachomekwa kwa urahisi na inaongozwa na vidhibiti vya kubadilisha aina ya mwanga (joto/baridi) na ukali wake.