Ukubwa Kamili (12 Inches): Inatoa mwangaza mpana na wa kutosha unaofaa kwa kupiga picha safi, kurekodi video za TikTok, Instagram, YouTube, au kufanya live streaming na makeup.
Inakuja na Stendi Ndefu: Stendi yake ni imara, inaweza kukunjwa na kurekebishwa urefu unaotaka kwa urahisi.
Kishikio cha Simu (Phone Holder): Ina kishikio cha simu kilichopo katikati ya ring light kwa ajili ya usawa mzuri wa picha na video bila kutikisika.
Mwangaza Unaoweza Kubadilishwa: Ina taa za LED zenye ubora wa juu zinazotoa mwangaza safi na salama kwa macho, wenye uwezo wa kubadilisha rangi na ukali kulingana na mahitaji yako.