Uwezo Mkubwa wa Betri (50,000mAh): Inahifadhi umeme mwingi unaoweza kuchaji simu yako mara kadhaa, inafaa sana kwa safari ndefu au maeneo yenye matatizo ya umeme.
Uchaji wa Kasi ya Juu (22.5W Fast Charging): Inachaji simu kwa haraka sana na kukuokoa muda.
Port Zilizoongezeka (Two Inputs and Two Outputs): Inakuwezesha kuchaji simu zaidi ya moja kwa wakati mmoja na inakupa urahisi wa kuichaji yenyewe.
Kioo cha Dijitali (LED Digital Display): Inakuonyesha asilimia sahihi ya chaji iliyobaki ili ujue muda wa kuichaji tena.
Taa Kubwa ya Mbele (LED Strong Lighting): Inakuja na taa ya dharura yenye mwanga mkali, inafaa kwa matumizi ya usiku au umeme unapokatika.
Usalama na Uimara (Efficient, Stable & Safe): Mfumo salama unaolinda betri ya simu yako dhidi ya moto au umeme unaozidi.
Mpini wa Kubeba (Portable Handle)