Uwezo Mkubwa wa Betri (45,000mAh): Inahifadhi chaji nyingi inayoweza kuchaji simu yako mara kadhaa bila haja ya kuichaji upya mara kwa mara.
Uchaji wa Kasi ya Juu (22.5W Fast Charging): Inachaji simu kwa haraka sana na kukuokoa muda.
Inakuja na Waya Zake (Comes with Three Wires): Inajumuisha cables tatu zilizounganishwa nyuma yake ili kuondoa kero ya kubeba waya za ziada.
Kioo cha Dijitali (Digital Display Screen): Inakuonyesha asilimia sahihi ya chaji iliyobaki.
Taa Kubwa ya LED (Emergency Light): Inakuja na taa ya mbele yenye mwanga mkali sana, inafaa kwa matumizi ya giza au umeme unapokatika.
Mpini wa Kubeba (Portable Handle): Ina mpini imara wa kuishikia kwa urahisi ukiwa kwenye safari au kazi za nje.
Port Zilizoongezeka: Inakuwezesha kuchaji vifaa zaidi ya kimoja kwa wakati mmoja.