Uwezo Mkubwa wa Betri (40,000mAh): Inahifadhi umeme wa kutosha kuchaji simu yako mara nyingi bila wasiwasi wa kuisha chaji.
Uchaji wa Kasi ya Juu (22.5W Superfast Charging): Inachaji simu kwa haraka na kukuokoa muda.
Port Zilizoongezeka (Dual USB & Dual Input): Inakuwezesha kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja na kurahisisha kuichaji yenyewe.
Kioo cha Dijitali (Digital Display): Inakuonyesha asilimia kamili ya chaji iliyobaki ili ujue muda wa kuichaji.
Taa Kubwa ya LED (Emergency Light): Inakuja na taa ya mbele yenye mwanga mkali sana, inafaa kwa matumizi ya giza au umeme unapokatika.
Muundo Imara na Mpini wa Kubeba (Portable Handle): Inakuja na mpini imara wa kuishikia kwa urahisi ukiwa njiani au kwenye usafiri.
Usalama wa Hali ya Juu (Efficient, Stable & Safe): Inalinda betri ya simu yako dhidi ya moto mkali