60W Fast Charging & AniFastTM Technology: Inachaji simu, tablets, na vifaa vingine kwa kasi kubwa sana na kwa usalama ndani ya gari.
Built-in Retractable Type-C Cable: Ina waya wa Type-C uliojengwa ndani unaoweza kuuvuta wakati wa kutumia na kujivuta wenyewe ndani ukimaliza, ili kuzuia vurugu ya waya garini.
Type-C & USB-A Ports: Zaidi ya waya wake wa ndani, ina matundu ya ziada (Type-C na USB-A) ili kuwezesha kuchaji vifaa vingine kwa wakati mmoja.
Built-in LED for Night Visibility: Ina taa ya LED inayofanya iwe rahisi kuiona na kuitumia wakati wa usiku au gizoni.
Multi-Protection for Safe Charging: Mfumo wa ulinzi wa kuzuia joto kuzidi, overcharging, au shoti ya umeme garini.
365 Days Warranty: Inakuja na udhamini wa mwaka mzima (siku 365) kutoka Oraimo.