Uwezo wa 10,000mAh: Inatosha kuchaji simu yako vizuri kabisa mahali popote ulipo (Power Up Anywhere).
Muundo wa Kisasa na Mwepesi (Slim & Portable): Ni rahisi sana kuibeba mfukoni, mkononi, au kwenye mkoba.
Muonekano wa Kifahari (Stylish Geometric Design): Ina muundo mzuri wa mistari ya kijiometri unaoifanya ionekane ya gharama na ya tofauti.
Ubora wa Infinix (Original Brand): Bidhaa halisi kutoka chapa inayotambulika kwa uimara na usalama wa betri ya simu yako.