Uwezo Mkubwa: Laini ya betri ya 54600mAh inayodumu kwa muda mrefu.Nguvu ya Juu: Inatoa hadi 150W, inafaa kabisa kuchaji Laptop, Simu, Kamera, Tablet, na vifaa vidogo vya nyumbani kama feni za USB.Njia Nyingi za Kuchaji (Multi-Outputs): Ina sehemu za USB, Type-C, na AC Output (plagi ya kawaida ya ukutani).Ulinzi Imara: Inakuja na mifumo ya kuzuia kifaa kisipate joto kali au kupitisha umeme mwingi uliopitiliza (Overcharge & Short-circuit protection).Urahisi wa Kubeba: Ni ndogo, imara, na rahisi kusafiri nayo popote.Inafaa kwa: Wafanyakazi wa maofisini, wapiga picha (photographers), wasafiri, na matumizi ya dharura nyumbani wakati wa kukuatika kwa umeme.Kifaa kiko mapya kabisa (Brand New) kwenye boksi lake