100W Super Fast Charge: Chaji MacBook au Laptop yako na simu kwa kasi ya hatari.
Smart Display Screen: Inakuonyesha kiasi cha Watt kinachoingia kwenye kifaa chako mubashara.
Ports 3 za Kuchaji: Chaji vifaa vitatu kwa wakati mmoja kwa urahisi.
Teknolojia ya GaN: Ni ndogo, nyepesi na haipati joto kali ukiwa unaitumia.
Inakuja na USB-C Cable: Box linakuja na kamba yake imara kabisa.
Real-Time Safety Protection: Inalinda vifaa vyako dhidi ya umeme mkubwa na joto.