**TOYOTA NOAH SR40 INAUZWA!**
Unatafuta gari kwa familia au biashara? Hii hapa fursa yako!
Injini 3S, 1990cc
Full A/C
Bei: TSh 13,800,000
Maongezi yapo!
Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga muda wa kuiona gari. Mnunuzi mwenye nia ya kweli anakaribishwa!