Hii gari ilipata hitilafu katika engine ni piston zilikuwa zimechimba kwahiyo nilifungua engine kwaajili ya marekebisho ambapo cylinder head iko sawa kabisa, block iko sawa na nishavisha sleev, gearbox iko sawa na kila kitu chake kipo hivyo ukiinunua inapaswa ununulie pistons,rings na main na cone.lakini ina kila kitu chake