Kariakoo, Lumumba, Dar es salaam. Tabata Relini, Dar es salaam.
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Inapendezesha muonekano wa ndani wa gari yako. Inasaidia kuitunza gari yako kutokana na matope,michanga na vumbi. Zina material ya rubber inayokuwezesha kuiosha kwa urahisi.Zipo za rangi nyeusi,grey na cream.