Tesla Radio ni Radio yenye muonekano ang'avu wa HD inayofungwa kwenye gari kama vile Crown,Landcruisers, kluger na Harrier . Ina mfumo wa android inayokuwezesha kuperuzi instagram,twitter,facebook na youtube. Ina bluetooth na GPRS.Memory ni GB 64 na RAM4. Ukinunua radio moja unapata reverse camera katika package yake.