Kariakoo, Lumumba, Dar es salaam. Tabata Relini, Dar es salaam.
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Sample guard/stone guard hukaa chini ya tire ya gari yako kwa ajili ya kuzuia matope, mawe madogo madogo, na michanga. Vile vile husaidia kurudisha muonekano wa gari kuwa mzuri na wa kuvutia. Hutunza engine na body ya gari visiharibike.