Muundo wa Kifahari (Luxury Design): Ina muundo wa kisasa na wa kuvutia unaoongeza muonekano wa kipekee na wa kifahari ndani ya gari lako.
Teknolojia ya Atomization: Inatoa mvuke laini wa manukato (mist) unaosambaa vizuri kwenye kila kona ya gari bila kuacha unyevu.
Kuondoa Harufu Mbaya: Inasaidia kusafisha hewa na kuondoa harufu ya moshi, vumbi au unyevu ndani ya gari.
Rahisi Kuweka: Inakaa vizuri kwenye cup holder au kwenye dashboard ya gari bila kudondoka kwa urahisi.
Inadumu Muda Mrefu: Manukato yake ni ya ubora wa juu na yanakaa kwa muda mrefu bila kuisha haraka.