Kariakoo, Lumumba, Dar es salaam. Tabata Relini, Dar es salaam.
Closed now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Floormart ya mazda inakusaidia kuweka muonekano wa ndani wa gari yako katika muonekano mzuri na wa kuvutia. Inakusaidia kutunza floor ya gari yako kutokana na matope na michanga. Ni rahisi kuiosha na kuisafisha.