Hii ni jack ya kisasa itakayokusaidia kuitumia endapo tairi limepata pancha unataka kulibadilisha hii inakuwa rahisi sana hasa kwa wote kwani ni automatic na inatumia umeme wa gari yako unakuiweka vizuri kisha unabonyeza button ya Jeki kunyanyua gari kisha unachukua mashine yake ya pili kufungulia tyre pia ina uwezo wa kuongeza upepo.