Kariakoo, Lumumba, Dar es salaam. Tabata Relini, Dar es salaam.
Open now
• Mon - Sun, 09:00-18:00
Led high power ni taa za magari aina zote zenye mwanga mkali sana, zinazokuwezesha kuona mbali zaidi hasa nyakati za usiku. Ni za booster ya fan inayoipooza bulb isiweze kupata joto na kuungua. Zipo za H4,9005,9006,H7,H11 na H3.