Car Android Show

Posted Oct 11
Ilala, Dar es Salaam, Tanzania
160 views
Brand New
Condition
Audio Accessories
Subtype
Audio Parts
Type
Haya kwa wale wenye magari ambao wanauhitaji wa show za android nchi 10 ili redio ikae vizuri
show hzo hapo za gari mbalimbali ni special kwa redio ya android nchi 9 na 10 kama vile
harrier
vitz
subaru
passo
mark x n.k
show bei yake ni laki na 30 kwa hzi common
pia redio zipo kwaajili ya hzo show so ni wewe tu
karibuni tupo ubungo maziwa
dar free delivery ila mikoani tuna tuma
for more info call/whatsapp
 • Car Android Show
 • Car Android Show
 • Car Android Show
 • TSh 130,000
  Last seen 1 day ago
  0621154879
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

  Similar adverts