tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Outdoor Gear
  4. Binoculars
Dar es Salaam, Ilala, 13 hours ago
4 views

Yuko Binocular 8x30

+1
Yukon Outfitters
Brand
Binoculars
Type
Brand New
Condition
Green
Color
Magnification (8x) – Huongeza kitu mara 8 zaidi kuliko macho ya kawaida, picha inakuwa karibu na wazi Lens size 30mm – Hupitisha mwanga wa wastani, inafaa mchana na mazingira ya kawaida Field of view pana – Unaona eneo kubwa bila kuzungusha sana darubini Nyepesi na portable – Rahisi kubeba safari, mlima au uwanjani Focus ya kati (center focus) – Kuadjust picha haraka na kwa urahisi Inafaa matumizi ya mchana – Bird watching, sports, safari, ulinzi n.k Grip ya mpira (rubber armor) – Huzuia kuteleza na kulinda dhidi ya shock ndogo Uwazi wa wastani hadi mzuri – Inategemea ubora wa model (coating ya lens ikikua bora picha inakuwa safi zaidi) Faida zake kwa kifupi Rahisi kutumia hata kwa beginner Haichoshi mkono kama 10x au 12x Inafaa sana safari na matumizi ya kawaida ya nje
Yuko Binocular 8x30
TSh 480,000
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif