-Ni kitanda / godoro za kisasa kabisa imara za kujaza kwa upepo, ukitumia hii huna haja ya kitanda maana ina kimo cha inchi 24 (urefu wa goti lako kutoka chini), brand ya Bestway zenye kuhimili uzito wa 300kg
-Inakuwa na pump ya umeme ya ndani kwa ndani (built in pump)
-Pia inakuwa na mfuko wake wa kubebea