tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Leisure & Activities
  3. Outdoor Gear
Promoted
Dar es Salaam, Ilala, 20 hours ago
4 views

Camping Light (Rachargeable)

+1
Other
Brand
Other
Type
Brand New
Condition
Inachajiwa (Rechargeable) – unaweza kuichaji mara nyingi. Solar charging – ina paneli ya sola juu, hivyo inaweza kuchajiwa kwa mwanga wa jua. Mwangaza mkali wa LED unaofaa kwa kambi, nyumbani wakati wa kukatika umeme, na shughuli za nje. Viwango tofauti vya mwangaza (hutegemea model). Ina mpini wa kubebea na kuning'iniza kwenye hema, mti au ukuta. Muundo unaostahimili matumizi ya nje, unaofaa kwa camping na safari. Betri ya kudumu kwa saa kadhaa baada ya kuchaji kikamilifu. Matumizi mengi: camping, uvuvi, safari, bustani, dharura za umeme, na shughuli za nje.
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif