Automatic tent ni tent ambazo hazihitaji kuunganisha inajifunguka kama mwavuli na kukunja kama mwavuli zipo za watu 2, watu 4 na watu 6.
automatic tents watu 1 - 2 bei tsh 70,000.
automatic tents watu 1 - 4 bei tsh 80,000.
automatic tents watu 1 - 6 bei tsh 95,000.
-kwa matumizi ya:-
*camping
*traveler
* nyumbani
* site / shambani