Camera zote, zina uwezo wa kuzunguka unavotaka, camera moja inauwezo wakuangaza chumba kizima zinadumu sana pia unaicontrol kwa kutumia simu popote utapokua hata uwe nje ya nchi ulipoiacha utaona kila kitu kinaendelea inatumia bando lisilozidi 10,000 kwa mwezi