35mm Full-Frame Sensor: Ubora wa hali ya juu na muonekano wa kisinema.
4K 120fps Recording: Kwa ajili ya Slow Motion za hatari.
XLR Top Handle Unit: Mfumo wa sauti wa kitaalamu uliopo kwenye handle.
Built-in Cooling Fan: Rekodi video bila hofu ya kamera kupata joto.
S-Cinetone & S-Log3 Color Profiles: Rangi halisi za kisinema.
E-Mount Lens Compatibility: Inafaa lenzi zote za Sony E-mount.
Kifurushi Kinahusisha: Kamera, XLR Handle, Betri, Chaja ya Original, na Box lake.