Ubora wa Picha na Video: Inarekodi video hadi 8K RAW / 60fps na 4K / 120fps, ikitoa picha na video zenye muonekano wa kiofisi na wa hali ya juu sana (Professional Quality).
Sensor: Sensor kubwa ya 45 Megapixels Full-Frame CMOS inayotoa picha zenye maelezo ya kina na rangi halisi.
Mfumo wa Kuponza (Active Cooling Fan): Ina feni maalum ya ndani inayozuia kamera kupata moto, hivyo inakuwezesha kurekodi video ndefu bila kukatika au kuzima.
Dual System (Photo & Video): Ina switch maalum ya kubadilisha kwa urahisi kati ya mfumo wa Cinema EOS (kwa ajili ya video) na mfumo wa EOS Photo (kwa ajili ya picha).
Autofocus ya Kasi: Teknolojia ya Dual Pixel CMOS AF II yenye Eye/Face Detection ili kufuatilia na kushika sura na macho kwa usahihi wa hali ya juu wakati wa kupiga picha au kurekodi.
Kadi za Hifadhi: Inatumia kadi za CFexpress