tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Sikia!! Ramani Vyumba Vitatu Hii Hapa.

Sikia!! Ramani Vyumba Vitatu Hii Hapa.

+1
Dar es Salaam, Ilala
66 views
4K Finishers co.
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
Usinunue ramani kabla hujasoma hii ndugu; Kitaalam kabisa hutakiwi kununua ramani, unatakiwa kuandaliwa ramani, ndio unahitaji kuandaliwa ramani yako, kwanini!!, utajua hapa chini; 1. Unatakiwa kuandaliwa ramani inayoendana na mahitaji yako, ukinunua ramani utauziwa mahitaji ya mtu mwingine, hehe unaona sasa. 2. Unatakiwa kupata ramani inayoendana na uwanja wako (ukubwa na shepu ya kiwanja chako), je ramani unayoinunua ikiwa kubwa kuliko uwanja wako?? utafanyaje, ndio utalipia tena kupunguza ukubwa wake, unaona sasa! p.s yapo mengi unastahili kuyajua kabla hujalipia ramani yako na tupo kukushauri bure saa yoyote, gharama za kutengenezewa ramani zinaanzia 100,000, kumbuka hii ni offer, offer ya upendo kwako mwenye ndoto za kujenga lakini bado hujamuamini mtu wa kumpa kazi, ( kuchora na kusimamia ujenzi). gharama za kusimamia ujenzi pia ni za kawaida sana , piga utapata kila unachohitaji hasa kwenye ujenzi na ramani.
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and payment
  • Meet in person at a safe public venue
Report Abuse