tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
  4. Flooring Services
Dar es Salaam, Ilala
142 views

Ramani Nzuri Ya Nyumba

+1
4
4K Finishers co
Company Name
Domestic
Service Type
Architectural Drawing
Type
Offer ! , hivi unajua kuwa ramani hii nzuri inayouzwa 300,000 sasa utaipata kwa 250,000 tu ? hii ni kwa sababu tunataka ufikie malengo ya kuishi kwako ndugu. unahitajinyumba ya kisasa isiyo onekana bati na umeambiwa zinavuja?? basi usijenge kabla hujasoma hii, 1. usijenge bila msimamizi (mtaalam wa majengo), fundi peke yake hawezi kufanya kazi bila maelekezo ya kitaalamu 2. tumia kokoto ndogo 3/4" nyeusi kujenga gutter , usitumie kabisa ile nyeupe au ubuyu kwani huwa nyepesi na huweza kuacha nafasi baina ya jiwe na jiwe (porous) hivyo kuvuja. 3. tumia tanfix kwenye flooring na plastering ya kuta za gutter , hii ni waterproof hivyo hairuhusu maji kupita.mengine mengi kuhusu ujenzi piga architect joseph john, utapata ushirikiano wa kutosha
Ramani Nzuri Ya Nyumba Ramani Nzuri Ya Nyumba
TSh 250,000 per service
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place