tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Dar es Salaam, Ilala
128 views

Ramani Bora Kabisa Hii

+1
5
4K Finishers Co.
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Architectural Drawing
Type
Using ArchiCAD
Drawing Execution Technology
OFFER OFFER YA MWAKA MPY 2022!! Una kiwanja na ungetamani kujenga kwa gharama nafuu? basi fahamu haya kabla hujafikiria kulipia ramani yako. 1. nunua ramani rahisi kujengeka/simple plan (tunazo); hii itakusaidia kupunguza gharama za ujenzi na za materials hivyo kuokoa pesa. 2. hakikisha ramani yako/nyumba haina ngazi nyingi ina maana utapunguza idadi ya tofali kwnye msingi na hivyo utaokoa pesa. 3. hakikisha ramani yako haina nguzo nyingi, kumbuka nondo moja inauzwa 26_30k, okoa pesa. 4. hakikisha ramani yako inaruhusu mwanga kufika kila mahali, hii inasaidia kupunguza matumizi ya umeme wakati wa mchana na faida za kiafya. 5. pata nakala ya makadirio ya ujenzi kutoka kwa mtaalam wako (tunafanya bure kwa sasa) ; hii itakusaidia kupunguza udanganyifu kutoka kwa mafundi wako na kukuonyesha kuwa pesa uliyonayo inaweza kukufikisha hatua gani. p.s Thamani ya ramani hii ni 150000, sasa unaipata kwa 100000 tu, okoa 50,000.
Report Abuse
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and remuneration
  • Meet in person at a safe public place