tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Services
  3. Building & Trade Services
Nyumba Ya Familia

Nyumba Ya Familia

+1
3
Dar es Salaam, Ilala
133 views
4K Finishers co
Company Name
Domestic & Industrial
Service Type
Engineering
Type
Ndio naongea na wewe unayehitaji kujenga nyumba ya familia ndogo nzuri na kwa gharama nafuu, bei halisi ya ramani hii ni 250,000 lakini kwa kuwa tunapenda ujenge utaipata kwa 200,000 na itadumu mpaka October 30 2022 usisubiri sana kwani baada ya hapo itapanda; sifa zake, -ina vyumba vitatu, uhakika kulala hata ukiwa na mgeni -ina sebule na dining na jiko bila kusahau store na public toilet hivyo utapata huduma zote unahitaji katika nyumba. p.s ukinunua ramani zetu utapata ushauri wakati wote wa ujenzi bure. - Tunapenda kukujulisha kuwa tunasimamia ujenzi (consultation) kwa gharama nafuu sana hivyo huhutaji kuwepo site muda wote huku shughuli zako zinakuhitaji, hilo tutalifanya kwa niaba yako na kwa ubora unaoutegemea.
Safety tips
  • Check Feedback to make sure the person is reliable
  • Agree on the scope of work and payment
  • Meet in person at a safe public venue
Report Abuse